hakuacha kutimiza maneno yake ya unabii
"alifanya mambo yote aliyoyafanyia unabii kutimia"
Israeli yote
Watu wote wa Israeli.
tokea Dani hadi Beersheba
"sehemu zote za nchi" au "toka mwisho wa nchi hadi upande mwingine"
Samweli aliteuliwa
Bwana alimteua