sw_tn_fork/1sa/03/01.md

13 lines
345 B
Markdown

# Neno la Bwana halikupatikana kwa wimngi
"Bwana hakuzungumza mara kwa mara na watu"
# Taa ya Mungu
Huu ni mshumaa wa saba uliopo mahali patakatifu pa maskani unaowaka kila siku mchana na usiku mpaka unapokwisha.
# Hekalu la Bwana.
Hekalu ni Hema lakini ilikuwa ni sehemu ambayo watu hutumia kuabudu hivyo ni vyema kuitafsiri kama Hekalu.