sw_tn_fork/1sa/01/26.md

588 B

Akasema, "Ee bwana wangu! Kama uishivyo, bwana wangu

"Kama uishivyo" inaonesha kuwa Hana amekuwa mkweli na mwaminifu. "bwana ninachokwenda kukwambia ni kweli"

amenijibu ombi la dua yangu nililomwomba

Hana anazungumza juu ya dua kama kitu ambacho mtu anaweza kumpa mtu mwingine pia anazungumza juu ya dua kama jibu la ombi lake. Hii inaweza kutafsiriwa kama "amekubali kunifanyia nilichomuomba anifanyie"

Alimwabudu Bwana

Hii inamuelezea Elikana lakini tafsiri zingine humuelezea Elikana na familia yake.

nimempa BWANA

Hii inaweza kutafsiriwa kama "Nimemkopesha kwa Bwana"