sw_tn_fork/1sa/01/21.md

17 lines
352 B
Markdown

# Nyumba yake
"Nyumba" inamaanisha watu wanaoishi ndani ya nyumba. "Familia yake"
# Aache kunyonya
Kuacha kunywa maziwa na kuanza kula vyakula vyenye kimimimika.
# ahudhurie mbele za BWANA na akae huko daima
Hana alimuahidi Mungu kuwa atamruhusu Samweli aishi na kufanyakazi na Eli katika hekalu.
# kumnyonyesha mtoto
"kumpa mtoto wake maziwa"