sw_tn_fork/1ki/08/44.md

5 lines
143 B
Markdown

# maombi yao, na dua zao
Neno "maombi" na "dua" yana maana moja yametumika kuonyesha juhudi ya kile ambacho watu wanamwomba BWANA awafanyie.