Sentensi unganishi
Nehemiya anaendelea kuandika idadi ya watu ambao walirudi kutoka uhamishoni.
Bigwai.....Adini...Ateri...Hashumu
Haya ni majina ya wanaume.
Wana wa Ateri, wa Hezekia
Mwandishi amefupisha neno hili. AT "wana wa Ater, ambaye ni wa uzao wa Hezekia"