sw_tn_fork/luk/08/34.md

25 lines
365 B
Markdown

# wakakimbia
"kwa haraka wakakimbia mbali"
# wakamwona mtu ambaye mapepo yalikuwa yamemtoka
"walimwona mtu ambaye mapepo yamemtoka"
# alikuwa amevaa vizuri
"Alikuwa amevaa nguo"
# mwenye akili timamu
"alikuwa na akili timamu" au "alikuwa anaishi kawaida"
# amekaa kwenye miguu ya Yesu
"amekaa chini, akimsikiliza Yesu"
# na waliogopa
"walimwogopa Yesu"