sw_tn_fork/1sa/04/05.md

9 lines
292 B
Markdown

# Sanduku la agano lilipokuja kambini
"watu walipolipeleka sanduku la agano la Bwana katika kambi" "Watu waliokuwepo pamoja na Hofini na Finehasi walilibeba sanduku la agano la Bwana na kulipeleka kambini."
# Sanduku la Bwana lilifika kambini
"Watu walilipeleka sanduku la Bwana kambini"