forked from WA-Catalog/sw_tn
748 B
748 B
Maelezo ya Jumla:
Huu ni mwendelezo wa ujumbe wa Yahwe kwa mataifa ya Israeli.
nyumba ya Israeli
Tazama tafsiri yake katika sura ya 3:1.
Miji itakaa na palipoharibiwa kujengwa
"Kisha watu wataishi katika miji na watayajenga tena magofu."
wataongezeka na kuzaa
"watakuwa watu wengi sana na watoto wengi sana"
nitawafanya kuishi kama mlivyokuwa
"watu kuishi juu yako milima kama walivyofanya kabla"
mtajua yakwamba mimi ni Yahwe
Tazama tafsiri yake katika sura ya 6:6.
watakumiliki
Neno "wewe" ni umoja na linarejea kwa "nchi ya Israeli."
hutasababisha tena watoto wao kufa
Hii inaonyesha kwamba zamani watoto walikufa kwa sababu hapakuwa na chakula cha kutosha katika nchi. Kisha nchi ilizalisha chakula cha kutosha.