sw_tn_fork/lev/12/06.md

9 lines
229 B
Markdown

# Siku za kutakaswa kwake zitakapomalizika
Siku za mwezi za utakaso wake zitakapokamilika"
# kwa ajili ya mwana au bint
Hii hurejelea idadi tofauti ya siku za utakaso kutegemeana na jinsia ya mtoto anayemzaa; mwana au binti.