Ataweka
"Naye kuhani ataweka"
pembe za madhabahu
hii hurejelea kona za madhabahu. Zimechongwa kama pembe za ng'ombe. Tazama lilivyofasiriwa katika Sura ya 4:6
ataimwaga damu yote
Ataimwaga damu iliyosalia
mafuta yote kutoka kwake
"mafuta yote kutoka kwa mnyama na kuyachoma hayo mafuta"