forked from WA-Catalog/sw_tn
454 B
454 B
Ngozi ... mabaki yoyote ya nyama, atazipeleka hizo zote nje
Yale maelezo "atazipeleka hizi zote" Yaweza kuweka mwanzoni mwa sentensi. : "Kuhani atapeleka nje hiyo ngozi..mabaki ya fahali"
eneo ambalo wamelisafisha kwa ajili yangu
Eneo kuwa safi kiibada na pa kufaa kutumia katika kumtumikia Mungu linasemwa kuwa lilikuwa safi kimaumbile.
wamelisafisha kwa ajili yangu
"Wamelisafisha" hapa humaanisha hao makuhani na "Mimi" humaanisha Yahweh.