Ikaja kuwa kwamba
Haya maneno yanatumika kuonyesha jambo muhimu katika stori.
usiku wa manane
"katikati ya usiku"
Aligeuka
Aliangalia nini kimemgusa
mwanamke alikuwa amelala miguuni mwake
Mwanamke alikuwa Ruthi, lakini Boazi hakuweza kumtambua gizani