sw_tn_fork/rom/04/20.md

21 lines
480 B
Markdown

# hakusita katika kutoamini
"Hakuwa na mashaka." AT 'agizo juu ya kutenda kwa imani.'
# alikuwa imara katika imani
"Akawa na nguvu katika imani yake"
# Alikuwa akijua hakika
"'Ibrahimu alikuwa na uhakika kabisa"
# yeye pia alikuwa na uwezo wa kukamilisha
"Mungu alikuwa na uwezo wa kufanya"
# Kwa hiyo hii ilikuwa pia kuhesabiwa kwake kama haki
"Mungu kuhesabiwa imani ya Ibrahimu kuwa ni uadilifu" au "Mungu kuchukuliwa Ibrahimu haki kwa sababu Ibrahimu aliamini yeye"