forked from WA-Catalog/sw_tn
1.1 KiB
1.1 KiB
Ufunuo 21 Maelezo ya jumla
Muundo na mpangilio
Sura hii inatoa maelezo ya kina kuhusu Yerusalemu mpya.
Dhana muhimu katika sura hii
Kifo cha pili
Kifo ni aina ya muachano. Kifo cha kwanza ni kifo cha mwili, kuachana kwa roho kutoka kwa mwili. Kifo cha pili ni utengano wa milele kutoka kwa Mungu. (Tazama: (See: rc://en/tw/dict/bible/other/death]], rc://en/tw/dict/bible/kt/soul na [[rc://en/tw/dict/bible/kt/eternity)
Tamathali muhimu za usemi katika sura hii
Kitabu cha uzima
Hii ni mfano wa maisha ya milele. Wale walio na uzima wa milele husemekana kuandikwa majina yao wkenye kitabo hiki cha uzima. (Tazama: rc://en/ta/man/translate/figs-metaphor)
Maswala mengine ya utata katika tafsiri ya sura hii
Mbingu mpaya na dunia mpya
Haieleweki iwapo hii ni dunia na mbingu tofauti kabisa ama kama zitatengenezwa kutoka kwa dunia na mbingu za kisasa. Hii ni hali sawa na Yerusalemu mpya. Kuna uwezekano kwamba hii itaathiri tafsiri katika lugha zingine.