sw_tn_fork/psa/145/020.md

13 lines
307 B
Markdown

# Mdomo wangu uta...
"Nita..."
# utazungumza sifa za Yahwe
"Nitawaambia wote jinsi Yahwe alivyo mwema"
# acha wanadamu wote wabariki jina lake
Neno "jina " njia nyingine ya kusema Yahwe mwenyewe. "jina lake tukufu libarikiwe," "acha watu wote wambariki" au "acha watu wote wafanye kinachomfurahisha"