forked from WA-Catalog/sw_tn
17 lines
595 B
Markdown
17 lines
595 B
Markdown
# Ulifunika dunia kwa maji kama vazi
|
|
|
|
Hapa maji ambayo yalifunika dunia inalinganishwa na jinsi vazi kubwa linavyoweza kufunika kabisa kitu. "Umefunika kabisa dunia kwa maji"
|
|
|
|
# Kukaripia kwako hufanya maji ... yalitoroka
|
|
|
|
Misemo hii miwili ina maana moja na inatumika pamoja kusisitiza jinsi Mungu alivyozungumza na maji yalivyoondoka.
|
|
|
|
# kurudi nyuma
|
|
|
|
"kukimbia" au "kusogea nyuma"
|
|
|
|
# yalitoroka
|
|
|
|
Hapa mtunga zaburi anazungumza juu ya maji kurudi nyuma kana kwamba yalitoroka kama mnyama baada ya kusikia sauti ya Yahwe. Neno "kutoroka" lina maana ya kukimbia mbali haraka. "kukimbia haraka"
|
|
|