forked from WA-Catalog/sw_tn
37 lines
1.3 KiB
Markdown
37 lines
1.3 KiB
Markdown
# Taarifa ya Jumla
|
|
|
|
Usambaba ni kawaida katika mashairi ya Kiebrania.
|
|
|
|
# Taarifa ya Jumla
|
|
|
|
Zaburi hii ni wimbo wa sifa.
|
|
|
|
# kwa maisha yangu yote
|
|
|
|
"kwa moyo wangu wote" au "kwa nafsi yangu yote". Msemo huu una maana ya kwamba atamsifu Yahwe kwa moyo wote na inatumika kusisitiza utii wake kwake.
|
|
|
|
# umevaa ufahari na utukufu
|
|
|
|
Maneno "ufahari" na "utukufu" ina maana moja na inasisitiza ukuu wa utukufu wa Yahwe. Inaelezwa kama kumvisha Yahwe kama vazi. "una ufahari na utukufu kukuzunguka kote"
|
|
|
|
# Unajifunika kwa mwanga kama vile vazi
|
|
|
|
Yahwe anafafanuliwa kama kufunikwa na mwanga kana kwamba mwanga ulikuwa vazi kukuzunguka. "Unafunikwa na mwanga"
|
|
|
|
# unatandaza nje mbingu kama pazia la hema
|
|
|
|
Hapa Mungu anafafanuliwa kama kutandaza nje mbingu kama mtu anavyotandazwa nje ya hema wakati inaandaliwa. "unatandaza nje mbingu kama mtu anayetengeneza hema"
|
|
|
|
# Unalaza nguzo za chumba chako juu ya mawingu
|
|
|
|
"Unajenga vyumba vyako vya juu katika mbingu". Hii ina maana ya nyumba yake kuwa ndefu ya kwamba sakafu yake ya juu inatanuka mapka katika mawingu.
|
|
|
|
# unafanya mawingu kuwa kibanda wazi chako
|
|
|
|
Hapa mawingu yanaelezwa kumbeba Yahwe kana kwamba yalikuwa kibandawazi. "unafanya mawingu kukubeba kama kibandawazi"
|
|
|
|
# unatembea juu ya mabawa ya upepo
|
|
|
|
Hapa kuvuma kwa upepo inaelezwa kama mabawa ambayo Yahwe hutembea. "unatembea juu ya upepo"
|
|
|