sw_tn_fork/psa/079/008.md

21 lines
552 B
Markdown

# Usishikilie dhambi za baba zetu dhidi yetu
"Usiendelee kukumbuka dhambi za baba zetu na kutuadhibu kwa sababu yao" au "Tusamehe kwa dhambi za baba zetu"
# tuko chini sana
"tumedhoofika sana"
# Mungu wa wokovu wetu
"Mungu anayetuokoa"
# kwa ajili ya utukufu wa jina lako
Neno "jina" ni njia nyingine ya kusema sifa yake, kwa kile ambacho watu wanachojua kumhusu. "ili watu wajue kuhusu utukufu wako"
# kwa ajili ya jina lako
Jina la Mungu hapa linamwakilisha yeye na heshima anayostahili. "ili watu wakuheshimu" au "kwa ajili yako mwenyewe"