sw_tn_fork/psa/065/008.md

21 lines
544 B
Markdown

# ushahidi
kithibitisho au kitu cha kuonesha kuwa kitu kingine ni kweli
# unafanya mashariki na magharibi kufurahi
Msemo "mashariki na magharibi" inamaanisha watu wanaoishi duniani kote. "unasababisha watu wanoishi kote kupiga kelele kwa furaha"
# kusaidia dunia
Hii inamaanisha udongo wa dunia.
# unairutubisha sana
"unaufanya udongo kuwa mzuri sana ili vitu vizuri visitawi juu yake"
# mto wa Mungu umejaa maji
Hii inamaanisha maji yaliyoko angani ambayo Mungu hutuma kumwagilia dunia na kuijaza mikondo. "unaijaza mikondo na maji"