sw_tn_fork/psa/045/014.md

25 lines
734 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Mwandishi anaendelea kuzungumza kuhusu malkia lakini anaanza kwa kuzungumza na mfalme kwanza.
# Ataongozwa kwenda kwa mfalme na nguo ya tarizi
"Watu watamwongoza kwenda kwa mfalme akiwa amevaa nguo ya tarizi"
# tarizi
mtindo ulioundwa kwa kushona nyuzi za rangi kwenye nguo
# wanawali, wenzake wanaomfuata, wataletwa kwako
Hapa neno "kwako" inamaanisha mfalme. "watu watakuletea wanawali, wenzake wanaomfuata"
# Wataongozwa kwa furaha na shangwe
Msemo huu unaeleza "furaha na shangwe" kama mtu anayewaongoza wengine kusherehekea. "Furaha na shangwe zitawaongoza" au "Wataenda kwa furaha na shangwe"
# furaha na shangwe
Maneno haya mawili yana maana moja na yanasisitiza ukali wa furaha. "furaha kubwa"