sw_tn_fork/psa/044/005.md

17 lines
394 B
Markdown

# Kupitia kwako ... kupitia
"Kwako ... kwa"
# tutasukuma ... kuwakanyaga chini ... inuka juu
Mwandishi anazungumzia kushindwa kwa adui zake kana kwamba wako "chini" na kujiandaa kwao kupigana kana kwamba wako "juu."
# kupitia jina lako
Hapa neno "jina" linamaanisha nguvu na mamlaka ya Mungu. "kwa nguvu yako"
# kuwakanyaga chini
"kuwakanyaga chini ya miguu yako" au "kutembea juu yao"