sw_tn_fork/psa/008/001.md

25 lines
750 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Usambamba ni kawaida katika mashairi ya Kiebrania.
# Kwa mwanamuziki mkuu
"Hii ni kwa kiongozi wa muziki kutumia katika
# weka kwa mtindo wa gittithi
Hii inaweza kumaanisha mtindo wa muziki.
# Zaburi ya Daudi
Maana zinazowezekana ni 1) Daudi aliiandika zaburi au 2) zaburi inamhusu Daudi au 3) zaburi iko katika mtindo wa zaburi za Daudi.
# jina lako lililovyo tukufu duniani kote
"Jina" la Mungu linaashiria asili yake yote. "watu duniani kote wanajua kuwa wewe ni mkuu sana"
# Kutoka katika midomo ya watoto na wachanga umeumba sifa
Kusababisha watoto kumsifu Mungu kunazungumziwa kana kwamba sifa ni kitu kilichoumbwa ndani ya midomo ya watoto na kufanywa kutoka nje. "Umewapa watoto na wachanga uwezo wa kukusifu"