forked from WA-Catalog/sw_tn
945 B
945 B
Mfalme Lemueli
hili ni jina la mfalme
Mwanangu, ni nini? Mwana wa tumbo langu, ni kitu gani? Unataka nini, mwana wa nadhiri zangu?
- "unafanya nini"? au " hupaswi kufanya hivyo unavyofanya sasa" 2) "sikiliza ninachokuambia" 3) "usifanye mambo ambayo nitakuonya dhidi yake."
mwanangu...mwana wa tumbo langu... mwana wa nadhiri zangu
msemaji anataka msikiaji atambue na kuheshimu msema anayezungumza.
mwana wa tumbo langu
tumbo linawakilisha mtu
mwana wa nadhiri zangu
- nadhiri za ndoa ya mama 2) nadhiri baada ya ndoa yakuwa kama Mungu angeruhusu kupata mtoto angeli mweka wakifu kwa Mungu
usiwape wanamke nguvu zako
"usifanye juhudi sana ili kufanya ngono na wanawake" ama nje ya ndoa au kwa vimada
au njia zako kwa wale ambao huwaharibu wafalme
"au kuruhusu wale ambao huwaharibu wafalme kukushauri"
njia zako
"namna unavyoishi" au "kazi unayofanya"
wale ambao huwaharibu wafalme
labda ni mwanamke malaya