forked from WA-Catalog/sw_tn
17 lines
744 B
Markdown
17 lines
744 B
Markdown
# Haya yote ni kwa sababu ya uasi wa Yakobo, na kwa sababu ya dhambi za nyumba ya Israeli
|
|
|
|
Hivi vifungu vya maneno kimsingi vinamaanisha kitu kimoja na kukazia kwamba Yahwe anatenda kwa sababu ya dhambi za falme zote mbili yaani kaskazini na kusini .
|
|
|
|
# Haya yote ni
|
|
|
|
"Bwana Mungu atakuja na kuhukumu"
|
|
|
|
# Je! Sababu ilikuwa nini kwa uasi wa Yakobo? Je! Haikuwa Samaria? Je! Haikuwa Samaria?
|
|
|
|
Hapa "Yakobo" anarejelea kwa ufalme wa kusini mwa Israeli. Mika anatumia maswali kuwasisitiza hao watu wa Samaria ni sababu ya Mungu kuuhukumu ufalme wa Israeli.
|
|
|
|
# Je! Sababu ilikuwa nini kwa mahali pa juu pa Yuda? Je! Haikuwa Yerusalemu?
|
|
|
|
Mika anatumia maswali kuwasisitiza hao watu wa Yerusalemu ndio sababu Mungu ya kuja kuuhukumu ufalme wa Yuda.
|
|
|