sw_tn_fork/mat/27/54.md

17 lines
353 B
Markdown

# Basi
Hili neno limetumika kuonesha mwanzo wa habari mpya. Mathayo anaaza kueleza sehemu nyingine ya habari
# na wale ambao walikuwa wakimtazama
"na wale maaskari waliokuwa wakimtazama Yesu"
# Mwana waMungu
Hiki ni cheo maalumucha Yesu kinachoonesh uhusiano na Mungu
# mama wa watoto wa Zebedayo
"Mama wa Yohana na Yakobo" au "mke wa Zebedayo"