forked from WA-Catalog/sw_tn
25 lines
854 B
Markdown
25 lines
854 B
Markdown
# Unapotoa wanyama vipofu kwa ajili ya kuteketezwa, huo sio uovu?
|
|
|
|
mnajua vizuri sana kuwa ni dhambi kutoa wanyama vipofu kwa ajili ya sadaka ya kutekezwa.
|
|
|
|
# Na mtakapotoa vilivyo vilema na vigonjwa, hiyo siyo uovu?
|
|
|
|
Na mnajua vizuri sana kwamba ni dhambi kutoa vilivyo vilema na vigonjwa!"
|
|
|
|
# Toa zawadi kwa watawala wenu; atawakubali au atawahurumia tu?
|
|
|
|
Hamwezi kutoa zawadi mbele ya watawala wenu! kama mlifanya, mnajua kabisa hawezi kukubali au kuwahurumia.
|
|
|
|
# Zawadi
|
|
|
|
kutoa kama zawadi kuonyesha heshima
|
|
|
|
# Na sas,... ni neema kwetu
|
|
|
|
Malaki hazungumzii kwa ajili ya Mungu. Anazunguza moja kwa moja kwa wasraeli.
|
|
|
|
# Pamoja sadaka ya namna hii kwa sehemu yenu, atapokea aina yeyote?
|
|
|
|
"Unapotoa kile kisichoruhusiwa, Mungu atafurahishwa na ninyi?" hii ni kukemea. "Kama utatoa sadaka iliyokataliwa Mungu hakika Mungu hatakuwa na furaha na ninyi!"
|
|
|