forked from WA-Catalog/sw_tn
383 B
383 B
Wanyamazishe wanafunzi wako
"waambie wanafunzi wako waache kufanya mambo haya"
Nawaambieni
Yesu alisema hivi kuonyesha msisitizo wa alichotaka kukisema baadae.
Hawa wakinyamaza
Tafsiri zingine zinahitaji kuweka wazi kile ambacho Yesu alikuwa ikimaanisha pale aliposema 'Hapana, mimi sitawakemea, kwa maana hwa watu wakikaa kimya.'
Mawe yatapaza sauti
"Mawe yatasifu"