forked from WA-Catalog/sw_tn
761 B
761 B
Wamebarikiwa
"Ni vizuri kama nini"
ambao bwana atawakuta wako macho akirudi
"wale ambao bwana wao atawakuta wakimngoja atakapo rudi" au "Walio tayari bwana akirudi"
atafunga ..atawaketisha chini
Kwasabu watumishi wamekuwa waaminifu na wako tayari kumuhudumia bwana wao, bwana atawalipa kwa kuwahudumia wao.
atafunga nguo yake refu na mkanda
'atajiandaa kuwahudumia wao kwa kufunga nguo yake na mkanda" au " atavaa tayari kuwahudumia"
kwa zamu ya pili ya ulinzi ya usiku
zamu ya pili ya ulinzi ni kati ya saa 3:00 usiku na saa 6:00 usiku. "karibu na usiku wa manane" au "kabla ya usiku wa manane"
au kwa zamu ta tatu ya ulinzi
zamu ya tatu ya ulinzi ni kuanzia saa 6:00 usiku na na saa 9:00 usiku. Au "akija akiwa amechelewa sana usiku"