forked from WA-Catalog/sw_tn
402 B
402 B
Kauli Unganisha
Elizabethi anajifungua mtoto wake na Zakaria anamwita jina mtoto wao.
alirudi nyumbani kwake
"Mariamu alirudi nyumbani kwake" au "Mariamu alirudi kwenye nyumba yake"
Sasa
Neno hili linaonesha mwanzo wa tukio linalofuata katika historia.
Jirani zake na ndugu zake
"majirani na ndugu wa Elizabethi"
alizidisha rehema yake kwaajili yake
""amekuwa mwema sana kwake" UDB