sw_tn_fork/jos/06/10.md

9 lines
242 B
Markdown

# Sauti yoyote isitoke vinywani Sauti yoyote isitoke vinywani
Sauti kutoka vinywani mwao inarejelea kuongea au kupiga kelele kwao
# Lakini Yoshua aliwaagiza watu
Yoshua alikuwa amewaamuru watu kabla ya kuanza kutembea kwa kuuzunguka mji.