sw_tn_fork/job/32/06.md

9 lines
323 B
Markdown

# ninyi ni wazee
mahali hapa 'ninyi' ni wingi na inarejelea Ayubu na marafiki zake.
# Urefu wa siku utazungumza; na wingi wa miaka utatufundisha hekima
Hii mistari miwili inamaanisha kitu kimoja. Elihu anatia mkazo kwa kuwa watu wazee ni wenye hekima kulika vijana, wanatakiwa kuwa wa kwanza kusema yale wanayoyajua.