forked from WA-Catalog/sw_tn
21 lines
598 B
Markdown
21 lines
598 B
Markdown
# Sentensi Unganishi
|
|
|
|
Ayubu anaendelea kuongea kuhusu baba zao wenye kudhihaki
|
|
|
|
# mboga ya chumvi ...majani ya vichakani...mizizi ya miretemu
|
|
|
|
Hii ni mimea ambayo watu waliweza kula endapo hawakuwa kupata chakula kizuri.
|
|
|
|
# mizizi ya miretemu kilikuwa chakula chao
|
|
|
|
1) watu walikula mizizi ya miretemu au 2) watu waliota moto kwa kuchoma mizizi ya miretemu.
|
|
|
|
# walifukuzwa kutoka kati ya watu ambao waliwapigia kelele... mwizi
|
|
|
|
"walipigiwa kelele na watu ...mwizi na kulazimishwa kuondoka"
|
|
|
|
# waliwapigia kelele kama mtu anavyompigia kelele mwizi
|
|
|
|
"waliwapigia kelele kana kwamba walikuwa wezi"
|
|
|