sw_tn_fork/isa/26/16.md

17 lines
487 B
Markdown

# walikuangalia wewe
Hapa "walikuangalia" ina maana ya watu wa Israeli. Hii ingeweza kujumuisha Isaya. "tuliangalia kwako"
# walikuangalia wewe
Lahaja hii ina maana walimuuliza Yahwe kwa msaada.
# nidhamu yako ilipokuwa juu yao
Nomino dhahania "nidhamu" inaweza kuwekwa kama kitenzi. "unapowaadhibisha"
# Kama mwanamke mwenye mimba .. anapolia katika maumivu yake ya uchungu
Hii inalinganisha watu kwa mwanamke kuzaa. Hii inasisitiza mateso na kulia kwao Yahwe alipowaadhibisha"