|
# Taarifa ya jumla:
|
|
|
|
Nabii Hosea anazungumza.
|
|
|
|
# kwa kuwa umeanguka kwa sababu ya uovu wako.
|
|
|
|
Kutenda dhambi kunazungumzwa kama kitendo cha kuanguka.
|
|
|
|
# Chukueni maneno pamoja nanyi
|
|
|
|
"kirini dhambi zenu"
|
|
|
|
# matunda ya midomo yetu.
|
|
|
|
Kituatakachosema mtu ndiyo matunda na midomo.
|
|
|