sw_tn_fork/hos/11/08.md

25 lines
689 B
Markdown

# Taarifa ya jumla:
Bwana anaongea juu ya Israeli.
# Ninawezaje kukuacha, Efraimu? Ninawezaje kukupeleka, Israeli?
Bwana anawapenda watu wake sana kiasi kwamba hatawaharibu kabisa.
# Ninawezaje kukufanya kama Adma? Ninawezaje kukufanya kama Seboimu?
Bwana anawapenda watu wake sana kiasi kwamba hatawaharibu kabisa. "Sitaki kuwaangamiza kama nilivyoiangamiza Adma na Seboimu miji niliyoiangamiza pamoja na Sodoma"
# Kwa maana mimi ni Mungu na wala si mtu
Mungu si kama mwanadamu anayeamua haraka kulipa kisasi.
# Moyo wangu umebadilika ndani yangu
Hapa "moyo" unawakilisha mapenzi ya Mungu na maamuzi yake.
# sitakuja katika ghadhabu
"Sitakuja kwako na kuwa na hasira na wewe"