forked from WA-Catalog/sw_tn
640 B
640 B
jiwe lililochongwa
"ambalo lilikuwa limetengenezwa kwa jiwe ambalo lililokuwa limekatwa"
dharaa
Tazama tafsiri yake katika 40:5.
dhiraa moja na nusu
Kama mita 0.8.
dhiraa moja
kama nusu mita
Kulabu mbili ujazo wa kiganja urefu uliokuwa umeunganishwa katika ua pande zote
"Kuzunguka varanda yote, watu walikuwa wameshambulia ndoana zilizokuwa zimejaa mkono mrefu na vidole viwili kila kimoja"
Kulabu mbili
kitu ambacho hatua mbili za tao, ambayo watu watu wanaweza kuning'niza vitu juu
ujazo wa kiganja urefu
kama mita nane.
nyama ya matoleo ilikuwa imewekwa juu ya meza
"wataweka mwili wa sadaka juu ya meza