neno la Yahwe likaja
"Yahwe akanena neno lake."
Mwanadamu
Tazama tafsiri yake katika 2:1.
weka uso wako juu ya
Tazama tafsiri yake katika 4:1.
watu wa Amoni
"uzao wa Amoni" au "wale waishio katika nchi ya Amoni"
na tabiri juu ya
Tazama tafsiri yake katika 4:6.