sw_tn_fork/ezk/20/33.md

179 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa nyumba ya Israeli.

mkono wenye nguvu, mkono ulionyooshwa

Maneno haya yote yanarejea kwa uweza mkubwa.