forked from WA-Catalog/sw_tn
600 B
600 B
ukoo wa kifalme
Neno "ukoo wa kifalme" linawaelezea watu na vitu ambavyo vinavyohusiana na mfalme au malkia.
uzao, muundo wa uzao
"Uzao" ni mtu mwenye uhusiano wa damu moja kwa moja toka kwa mtu mwingine wa mbali katika historia ya familia fulani.
agano
Agano ni makubaliano rasmi, yenye ahadi za viapo baina ya pande mbili ambapo upande mmoja au pande zote zinalazimika kulitimiza.
nadhiri, kiapo, kujiapiza
Katika Biblia, nadhiri ni ahadi rasmi ya kufanya jambo fulani. Mtu anayefanya nadhiri hutakiwa kuitimiza ahadi hiyo. Nadhiri inahusisha mtu kujitoa kuwa mwaminifu na mkweli.