forked from WA-Catalog/sw_tn
475 B
475 B
Maelezo ya Jumla:
Ezekieli anaendelea kueleza kuhusu maono.
Mwanadamu
"Mwana wa binadamu" Mungu anamuita Ezekieli hivi kusisitiza kwamba Ezekieli ni binadamu tu. Mungu ana uweza na anaishi milele, lakini si watu.
huu mji ni sufuria, na sisi ni nyama
Watu wanajizungumzia wenyewe kana kwamba walikuwa wakataji wa nyama wazuri na mji kana kwamba ulikuwa sufuria ambalo lilihifadhi nyama.
sufuria
sufuria kwa ajili ya kutunzia nyama au sufuria ya kupikia nyama.