sw_tn_fork/ezk/08/10.md

21 lines
611 B
Markdown

# Tazama!
Neno "tazama" hapa linaonyesha kwamba Ezekieli alishangazwa kwa kile alichokiona.
# Kulikuwa na kila umbo la vitu vikitembea
"vitu vilivyo chongwa katika ukuta wa kila aina ya wanyama watambaao na wanyama wa karaha." Neno kitu kitambaacho" linarejea wadudu na wanyama wengine wadogo.
# nyumba ya Israeli
Neno "nyumba" linasimama badala ya familia inaishi katika nyumba, katika kesi hii Waisraeli, uzao wa Yakobo zaidi ya miaka mingi.
# Yaazania mwana wa Shafani
hili ni jina la kiume
# chetezo
sufuria ambayo watu hutumia kwa kuchomea ubani ndani wakati wakimwabudu Mungu au miungu ya uongo