sw_tn_fork/exo/12/17.md

540 B

makundi yaliyo na silaha, kwa makundi yaliyo na silaha

Neno lilotumika kwa haya makundi ni neno la kijeshi ikimaanisha idadi kubwa ya wanajeshi.

jiono

Hii ina maana ya muda ambao jua limezama wakati bado kuna mwanga.

siku ya kumi na nne ya mwezi wa kwanza

Huu ni mwezi wa kwanza wa kalenda ya Kiebrania. Siku ya kumi na nne ni karibu na mwanzo wa Aprili katika Kalenda za Magharibi.

siku ya ishirini na moja ya mwezi

siku ya ishirini na moja ya mwezi wa kwanza. Hii ni karibu na katikati ya Aprili kwa Kalenda za Magharibi.