Yahweh akamwambia Aruni
Unaweza taka kuongeza neno linalo weza kuweka alama mwanzo wa sehemu mpya wa hadithi.
katika mlima wa Mungu
Huu waweza kuwa mlima wa Sinai, lakini ukurasa hauelezi maelezo haya.
alimtuma yeye kusema
Neno "yeye" lamuhusu Yahweh.