1.1 KiB
Maelezo ya Jumba:
Ujumbe wa Yahwe ulitumwa kwa Mfalme Yosia kupitia Hulda, unabii, unaendelea.
hasira yangu ilikuwa inawaka dhidi ya hii sehemu, na haitazimika
Yahwe anapatwa na hasira kali sana inazungumzwa kana kwamba hasira yake ilikuwa moto uliokuwa umewaka na usiweza kuzimwa. "hasira yangu juu ya hii sehemu ni kama moto ambao hauwezi kuzimwa"
hi sehemu
Hapa "mahali" inawakilisha watu waishio katika Yerusalemu na Yuda. "hawa watu"
Kuhusu maneno uliyosikia
Hapa "maneno" inawakilisha ujumbe ambao Hulda alioungea. "kuhusu ujumbe ambao uliousikia"
Kwa sababu moyo wako ulikuwa mlaini
Hapa "moyo" unawakilisha utu wa mtu wa ndani. Kuomba samahani inazungumziwa kana kwamba moyo ulikuwa malaini. "kwa sababu ulisamehe" au "kwa sababu umetubu"
kwamba wanaweza kuwa wakiwa na laana
"ukiwa" na "laana" unaweza kuanza kama kuvumishi na kitenzi. "kwamba nitawalaani na kulaani nchi yao kuwa ukiwa"
chana mavazi yako
Hii ni tendo la ishara linaloonyesha huzuni kubwa sana masikitiko.
huu ni usemi wa Yahwe
Hapa anajizungumzia mwenyewe katika nafsi ya tatu. Inaweza kuanza katika nafsi ya kwanza. "hivi ndivyo nisemavyo"