sw_tn_fork/2ki/06/06.md

380 B

Basi mtu wa Mungu akasema

"Hivyo Elisha mtu wa Mungu, akauliza"

Kisha akakata fimbo, akarusha kwenye maji, na kufanya chuma kuelea

Mungu anamtumia Elisha kufanya muujiza. Kichwa cha shoka kuelea kwenye uso wa maji na kukaa hapo ili nabii aweze kukichukua.

kufanya chuma

"sababisha chuma kuelea"

chuma

"kichwa cha shoka." Kichwa cha shoka kilitnegenezwa kwa chuma.