forked from WA-Catalog/sw_tn
450 B
450 B
Jipimeni wenyewe...hamjagundua...haijagundulika
Maneno "gundulika" na "haijagundulika" yanaweza kuwa na maana ya kupitisha au kutopitisha jaribu.
ninyi hamkubali kwamba Yesu Kristo yu ndani yenu?
"ninyi mnapaswa kujua kuwa Yesu Kristo yumo ndani yenu"
ndani yenu
Inawezekana inamaanisha 1]anaishi ndani ya mtu binafsi[ au 2] "katikati yenu, "na sehemu muhimu zaidi ni wafuasi wa kundi.
sisi hatukukataliwa
"Hakika sisi tumekubaliwa."