Akafanya yaliyokuwa uovu katika macho ya Yahwe.
Rejea sura ya 14:1
Kama yalivyo mambo ya machukizo ya mataifa ambayo Yahwe alikuwa amewafukuza mbele ya watu wa Israeli.
"Kama alivyowatendea watu wengine ambao Yahwe aliwasababisha kupigwa na watu wa Israeli".