sw_tn_fork/1co/12/18.md

13 lines
302 B
Markdown

# kiungo kimoja
Kwa ujumla neno "Kiungo" linarejea sehemu zote za mwili kama vile kichwa, mkono au goti. kwa maneno mengine "sehemu ile ile ya mwili"
# mwili ungelikuwa wapi?
"kusingelikuwa na mwili"
# Kwa hiyo sasa kuna viungo vingi, lakini
kwa maneno mengine ni kusema "kusingekuwa na mwili"