sw_tn_fork/jdg/15/03.md

25 lines
482 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# sitakuwa na hatia juu ya Wafilisti wakati nikiwaumiza
Samsoni anafikiri kuwa kwa sababu Wafilisti wamemkosea hivyo hatakuwa na hatia akiwavamia.
# Mbweha mia tatu
"mbweha 300"
# Mbweha
Mbweha ni wanayama wadogo kama mbwa wenye mikia mirefu wanaokula wanyama wadogo wadogo na ndege.
# Kila jozi
Jozi ni vitu viwili. Mfano mbweha wawili au mikia miwili.
# Mkia kwa mkia
"kwa mikia yao"
# Taa
Ni fimbo ya mbao inayowaka na kutoa mwanga ambayo mara nyingi hutumika usiku.